Kuna kitabu kinachoweza kukusaidia kupata mafunzo ya kuongeza thamani ya mazao uliyozalisha ili kujiongezea zaidi kipato. Sio lazima ukishavuna mazao yako ukapeleka moja kwa moja sokoni.
Inawezekana kujiunga katika vikundi vya watu ambao mnazalisha mazao yanayofanana kwa ubora unaolingana na hatimaye kuyaongezea thamani.
Hii itasaidia sana katika kujiongezea kipato na kutimiza ndoto zetu za maisha kupitia kilimo. Click here to download the book
2 comments:
Imetulia sana hiyo
ahsante sana kwa elimu hii
Post a Comment